Document 7anv772B7QmKNnaMJ8yR8JYa
International Chemical Safety Cards (WHO/IPCS/ILO)
Page 1 of3
KADI ZA KIMATAIFA ZA USALAMA WA KEMIKALI
CHRYSOTILE
CAS # 12001-29-5 RTECS # CI6478500 ICSC # 0014 UN # 2590 EC #650-013-00-6
ICSC: 0014
CHRYSOTILE Asbestos, chrysotile
White asbestos Serpentine chrysotile
/ Mg6(Si4O10)(OH)8
Masi ya molekuli: 554
IPCS
Jth*. 1IK
X9X ^
AINA ZA HATARI MFIDUO
MOTO
" MADHARA YAPAPO
HAPO/DALILI
Haiwaki.
MLIPUKO -
MFIDUO
KUVUTA PUMZI
NGOZI
Kikohozi.
MACHO
KUMEZA
KINGA
HUDUMAYA KWANZA
UZIMAJI MOTO
Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa
ZUIA MTAWANYIKO WA
VUMBI! EPUKA MGUSANO
WOWOTE!
'
Kinga ya kupumulia. Mfumo funge na uingizaji hewa.
Hewa safi, mapumziko.
Glavu za kinga. Mavazi ya kinga
Miwanivuli ya usalama, au kinga ya macho pamoja na kinga ya kupumulia iwapo poda.
Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini. Nawa mikono kabla ya kula.
Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga.
Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari.
Sukutua kinywa.
http://www.cdc.gov/niosh/ipcsnswh/nswh0014.html
SA-497
9/14/2002
International Chemical Safety Cards (WHO/IPCS/ILO)
Page 2 of3
KUSAFISHA MWAGIKO
UHIFADHI
UFUNGASHAJI/UWEKAJI LEBO
Ondoka katika eneo la hatari. Shauriana na mtaalam. Vuta kiombwe maunzi yaliyomwagika kisha peleka mahala pa usalama. (Kinga ya ziada ya binafsi: nguo kamili za usalama pamoja na vifaa vya kupumulia vilivyo toshelevu).
Kilichofungwa vizuri.
isharaT R: 45-48/23 S: 53-45 Angalia: E Ainisho ya UN ya Hatari: 9 Kikundi Ufungashaji cha UN: ID
TAZAMA TAARIFA MUHIMUILIYO NYUMA
ICSC: 0014
Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikaii na Tume ya Jumuiya za Ulaya IPCS CEC 1999
KADI ZA KIMATAIFA ZA USALAMA WA KEMIKALI
CHRYSOTILE
ICSC: 0014
HALIMAUMBILE; INAVYOONEKANA: NJIA ZA MFIDUO:
D
MANGO NYEUPE, KIJIVU, KIJANIAU
Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili
MANJANO YENYE NYUZINYUZI.
kwa kuvuta pumzi.
A HATARI KWA MWILI: T HATARI ZA KIKEMIKALI:
HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Uvukizi ifikapo 20C ni kidogo; hata hivyo. ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka.
A VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI
(OELs):
TLV: 0.1 nyuzi/cc (kama TWA) A1 for fibres
longer than 5 micrometers with an aspect ratio ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU
equal to or greater than 3:1 as determined by AU UNAORUDIWA:
the membrane filter method at 400-450X
Dutu hii huweza kuathiri mapafii , husababisha
M magnification (4mm objective) phase contrast fibrosisi ya mapafu na mesothelioma Dutu hii
elimination.
husababisha kansa kwa binadamu.
Ainisho ya MAK III A1 (1993) U 0.6 nyuzi/cm EC OELs
H
I
M
U
TABIA ZA
l/TA/f A TTA/TDTY V*
Kiwango myeyuko (hutengana) Uzito wiani: 2.2-2.6 g/cm3
http://www.cdc.gov/niosh/ipcsnswh/nswh0014.html
Umumunyifu katika maji: hakuna
9/14/2002
International Chemical Safety Cards (WHO/IPCS/ILO)
Page 3 of3
IVliTlAUlTliJlUEi
DATA YA
MAZINGIRA
VIDOKEZO
Kutegemeana na kiasi cha mfiduo, upimaji wa Mtibabu wa mara kwa mara unaMtajika. Usichukue nguo za kazi nyumbani. Nambari nyingine za CAS 132207-32- 0. Mapendekezo kwenye kadi hit pia yanahusu namna nyinginezo za asbestosi. Avibest C, 7-450 asbestos, Calidria RG 144, Calidria RG 600, Calidria RG 100, Hooker no.l chrysotile asbestos, K 6-30, Plastibest 20, RG 600,5R04, Sylodex, Cassiar AK, Cassiar A 65, Fritmag, P 3-50 na P 4-20 ni majina ya kibiashara.
Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 913
MAELEZO YA ZIADA
ICSC: 0014
IPCS, CEC, 1999
CHRYSOTILE
TAARIFA
YA KISHERIA
Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya. Shughuli hii ya IPCS ni ya elimu ya kisayansi na watumiaji lazima waelewe kuwa kadi hizi zina mkusanyiko wa maoni sawa ya Kamati ya Upitio ya IPCS. Mara nyingine zinaweza zisikidhi matakwa yaliyomo ndani ya Sheria za nchi zinasixnainia swala hili. Hivyo xntumiaji aangalie endapo kadi hizi zinawiana na matakwa ya nchi zinazohusika.
http://www.cdc.gov/niosh/ipcsnswh/nswh0014.html
9/14/2002