Document 7anv772B7QmKNnaMJ8yR8JYa

International Chemical Safety Cards (WHO/IPCS/ILO) Page 1 of3 KADI ZA KIMATAIFA ZA USALAMA WA KEMIKALI CHRYSOTILE CAS # 12001-29-5 RTECS # CI6478500 ICSC # 0014 UN # 2590 EC #650-013-00-6 ICSC: 0014 CHRYSOTILE Asbestos, chrysotile White asbestos Serpentine chrysotile / Mg6(Si4O10)(OH)8 Masi ya molekuli: 554 IPCS Jth*. 1IK X9X ^ AINA ZA HATARI MFIDUO MOTO " MADHARA YAPAPO HAPO/DALILI Haiwaki. MLIPUKO - MFIDUO KUVUTA PUMZI NGOZI Kikohozi. MACHO KUMEZA KINGA HUDUMAYA KWANZA UZIMAJI MOTO Moto unapotokea katika eneo: vitenzi vyote vya kuzimia moto vinaruhusiwa ZUIA MTAWANYIKO WA VUMBI! EPUKA MGUSANO WOWOTE! ' Kinga ya kupumulia. Mfumo funge na uingizaji hewa. Hewa safi, mapumziko. Glavu za kinga. Mavazi ya kinga Miwanivuli ya usalama, au kinga ya macho pamoja na kinga ya kupumulia iwapo poda. Usile, usinywe wala kuvuta sigara ukiwa kazini. Nawa mikono kabla ya kula. Vua nguo zilizosibikwa. Suuza ngozi kwa maji mengi au oga. Kwanza safisha macho vizuri kwa dakika chache (ondoa lenzi mboni kama inawezekana kuziondoa kwa urahisi), kisha mpeleke kwa daktari. Sukutua kinywa. http://www.cdc.gov/niosh/ipcsnswh/nswh0014.html SA-497 9/14/2002 International Chemical Safety Cards (WHO/IPCS/ILO) Page 2 of3 KUSAFISHA MWAGIKO UHIFADHI UFUNGASHAJI/UWEKAJI LEBO Ondoka katika eneo la hatari. Shauriana na mtaalam. Vuta kiombwe maunzi yaliyomwagika kisha peleka mahala pa usalama. (Kinga ya ziada ya binafsi: nguo kamili za usalama pamoja na vifaa vya kupumulia vilivyo toshelevu). Kilichofungwa vizuri. isharaT R: 45-48/23 S: 53-45 Angalia: E Ainisho ya UN ya Hatari: 9 Kikundi Ufungashaji cha UN: ID TAZAMA TAARIFA MUHIMUILIYO NYUMA ICSC: 0014 Imetayarishwa katika muktadha wa ushirikiano kati ya Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikaii na Tume ya Jumuiya za Ulaya IPCS CEC 1999 KADI ZA KIMATAIFA ZA USALAMA WA KEMIKALI CHRYSOTILE ICSC: 0014 HALIMAUMBILE; INAVYOONEKANA: NJIA ZA MFIDUO: D MANGO NYEUPE, KIJIVU, KIJANIAU Dutu hii huweza kufyonzwa ndani ya mwili MANJANO YENYE NYUZINYUZI. kwa kuvuta pumzi. A HATARI KWA MWILI: T HATARI ZA KIKEMIKALI: HATARI ZA KUVUTA PUMZI: Uvukizi ifikapo 20C ni kidogo; hata hivyo. ukolezi unaodhuru wa chembechembe zinazopeperuka hewani unaweza kufikiwa haraka. A VIKOMO VYA MFIDUO WA KAZI (OELs): TLV: 0.1 nyuzi/cc (kama TWA) A1 for fibres longer than 5 micrometers with an aspect ratio ATHARI ZA MFIDUO WA MUDA MREFU equal to or greater than 3:1 as determined by AU UNAORUDIWA: the membrane filter method at 400-450X Dutu hii huweza kuathiri mapafii , husababisha M magnification (4mm objective) phase contrast fibrosisi ya mapafu na mesothelioma Dutu hii elimination. husababisha kansa kwa binadamu. Ainisho ya MAK III A1 (1993) U 0.6 nyuzi/cm EC OELs H I M U TABIA ZA l/TA/f A TTA/TDTY V* Kiwango myeyuko (hutengana) Uzito wiani: 2.2-2.6 g/cm3 http://www.cdc.gov/niosh/ipcsnswh/nswh0014.html Umumunyifu katika maji: hakuna 9/14/2002 International Chemical Safety Cards (WHO/IPCS/ILO) Page 3 of3 IVliTlAUlTliJlUEi DATA YA MAZINGIRA VIDOKEZO Kutegemeana na kiasi cha mfiduo, upimaji wa Mtibabu wa mara kwa mara unaMtajika. Usichukue nguo za kazi nyumbani. Nambari nyingine za CAS 132207-32- 0. Mapendekezo kwenye kadi hit pia yanahusu namna nyinginezo za asbestosi. Avibest C, 7-450 asbestos, Calidria RG 144, Calidria RG 600, Calidria RG 100, Hooker no.l chrysotile asbestos, K 6-30, Plastibest 20, RG 600,5R04, Sylodex, Cassiar AK, Cassiar A 65, Fritmag, P 3-50 na P 4-20 ni majina ya kibiashara. Kadi ya Dharura ya Usafiri: TEC(R) - 913 MAELEZO YA ZIADA ICSC: 0014 IPCS, CEC, 1999 CHRYSOTILE TAARIFA YA KISHERIA Jumuiya za Ulaya (CEC) au Mpango wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Kikemikali (IPCS) au mtu yeyote kwa niaba ya CEC au IPCS hatawajibika kwa matumizi ya maandishi haya. Shughuli hii ya IPCS ni ya elimu ya kisayansi na watumiaji lazima waelewe kuwa kadi hizi zina mkusanyiko wa maoni sawa ya Kamati ya Upitio ya IPCS. Mara nyingine zinaweza zisikidhi matakwa yaliyomo ndani ya Sheria za nchi zinasixnainia swala hili. Hivyo xntumiaji aangalie endapo kadi hizi zinawiana na matakwa ya nchi zinazohusika. http://www.cdc.gov/niosh/ipcsnswh/nswh0014.html 9/14/2002